
MANE KUTIBIWA NA WAGAGA ACHEZE KOMBE LA DUNIA
INAELEZWA kuwa Senegal ipo tayari kuwatumia hata waganga wa kienyeji kuhakikisha nyota wao Sadio Mane anapona na kushiriki Kombe la Dunia ambalo linatarajiwa kuanza Novemba 20,kule Qatar. Mane yupo kwenye hatihati ya kukosekana kwenye Kombe la Dunia baada ya hivi karibuni kuumia akiwa na Klabu ya Bayern Munich kwenye mchezo dhidi ya Werder Bremen. Katibu…