VIDEO:MASTAA 21 YANGA WAKWEA PIPA/HAKUNA KUJILINDA KAZIKAZI
KOCHA msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze amesema kuwa wanakwenda na wachezaji 21 ambao wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Club Africain unaotarajiwa kuchezwa Novemba 9,2022