WATATU WA SIMBA KUIKOSA de AGOSTO YA ANGOLA

MASTAA watatu wa Simba kesho wanatarajiwa kutokuwa sehemu ya msafara utakaolekea nchini Angola kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya de Agosto. Alfajiri ya Jumamosi, kikosi cha Simba kinachonolewana Kocha Mkuu, Juma Mgunda kinatarajia kuanza safari kuelekea Angola kwa ndege ya kukodi. Leo Ijumaa, Oktoba 7,2022 kikosi hicho kimefanya mazoezi ya…

Read More

NABI: SISI HATUONGEI SANA NI KUTAFUTA MATOKEO

 NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa wanatambua mchezo wao wa kesho utakuwa mgumu lakini wao hawaongei sana zaidi ni kutafuta matokeo. Yanga itawakaribisha Al Hilal kwenye mchezo wa raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika. Kocha huyo amebainisha kuwa maandalizi ambayo wameyafanya yanawapa imani ya kupata matokeo kwenye mchezo wao. “Sisi hatuongei…

Read More

METACHA MNATA AWAPONZA SINGIDA BIG STARS

TIMU mbili Bongo zinazoshiriki Ligi Kuu Bara zimekutana na rungu la kufungiwa kufanya usajili kwa dirisha moja kutokana na makosa ambayo wamefanya. Taarifa iliyotolewa leo Oktoba 7,2022 na TFF, imeeleza namna hii:-“Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF), imezifungia kusajili klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara za…

Read More

HII HAPA ORODHA YA MASTAA 25 WA AZAM FC KIMATAIFA

HIKI hapa kikosi kazi cha Azam FC ambacho kipo Libya kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Akhdar ya Libya. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho, Oktoba 8,2022.  Ali Ahmada, Ahmed Salula, Zuber Foba ni kwa upande wa makipa. Mabeki ni Lusajo Mwaikenda, Nathan Chilambo, Bruce Kangwa, Agrey Moris,…

Read More

ARSENAL WAPO JUU KILA KONA

KILA kona wapo juu hawa Arsenal wakiwa ni namba moja ukiweka kando Ligi Kuu England hata kwenye Kundi A katika Europa League ni namba moja. Ushindi wa mabao 3-0 walioupata dhidi ya Bodo/Glimt unawafanya wawe hapo nafasi ya kwanza kwenye mchezo uliochezwa usiku wa kuamkia leo. Ni mabao ya Eddie Nketiah dakika ya 23, Rob…

Read More

MECHI ZA USHINDI KWENYE MERIDIANBET WIKI HII

Ni muendelezo wa Ligi mbalimbali wikiendi hii, kwenye Epl Chelsea watarudi uwanjani kukipiga na Wolves siku ya Jumamosi kwenye dimba la Stamford Bridge, Chelsea wamekuwa na matokea mazuri kwenye mechi zao za nyuma, atakutana na Wolves aliyeshinda mechi moja tu kwenye Ligi. Weka utabiri wako na Meridianbet   Jini la kufunga mabao litakuwa uwanjani tena…

Read More

AZAM FC KIMATAIFA HESABU ZAO HIZI HAPA

 KALLY Ongala, kocha wa washambuliaji wa Azam FC ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi yao ya kimataifa dhidi ya Al Khadar ya Libya. Azam FC imewasili nchini Libya ikiwa na msafara wa wachezaji 25 miongoni mwao ni washambuliaji wawili, Idris Mbombo na Prince Dube. Pia kiungo Abdul Suleiman, ‘Sopu’ ni miongoni mwa…

Read More