
IHEFU YAAMBULIA POINTI LIGI KUU BARA
IKIWA Uwanja wa Highland Estate, leo Oktoba 4,2022 Klabu ya Ihefu imekusanya pointi moja kwa mara ya kwanza msimu wa 2022/23. Ikumbukwe kwamba Ihefu inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mwambusi kwenye mechi nne mfululizo ilipoteza mechi zake na mchezo wake wa mwisho kabla ya leo ilifungwa mabao 2-1 KMC. Sare ya kufungana bao 1-1 dhidi…