
MZEE WA KUCHETUA KARUDI, KUWAKOSA SIMBA
KIUNGO wa Yanga, Bernard Morrison amezidi kuwa imara hali yake na tayari ameanza mazoezi na wachezaji wenzake. Nyota huyo alipata maumivu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC uliochezwa Uwanja wa Mkapa ambao waligawana pointi mojamoja. Ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 2-2 Azam FC na Morrison aliyeyusha dakika 90 lakini…