
KIKOMBE CHA KOCHA MPYA AZAM FC KICHUNGU
KIKOMBE cha mrithi wa mikoba ya Abdi Hamid Moallin aliyekuwa kocha mkuu wa Azam FC ambacho kipo mikononi mwa Daniel Cadena ambaye ni kocha wa makipa ni kichungu kwa kuwa anakutana na timu ambayo haijafungwa. Ni mchezo dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 6 zikiwa zimebaki siku tano kabla ya timu hizo…