
SAUTI:AL HILAL YAMUIBUA SENZO YANGA
SENZO CEO aibuka tena Yanga, Al Hilal wamrudisha Yanga nyumbani afunguka haya CAF
SENZO CEO aibuka tena Yanga, Al Hilal wamrudisha Yanga nyumbani afunguka haya CAF
KMC leo imepata ushindi wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Uhuru kusoma KMC 2-1 Ihefu FC. Ni mshambuliaji mzawa, Matheo Anthony alipachika bao la mapema dakika ya 3 huku Raphael Daud dakika ya 34 aliweka usawa kwa Ihefu na kuwafanya waende mapumziko wakiwa wametoshana nguvu. Kipindi…
MWANDISHI mkongwe katika masuala ya michezo Afrika Mashariki na kati ameweka wazi kuwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa kati ya Zalan FC na Yanga umekwisha, Yanga walipata bahati kwa kuwa hawakupata timu ngumu kimataifa hilo limewasaidia kujipanga kuwa vizuri na hata Simba ingewapata hao ingepata bahati. Kuhusu de Agosto ya Angola ambao ni wapinzani wa…
SHABIKI wa Yanga amesema kuwa Fiston Mayele angepata nafasi ya kucheza dhidi ya Big Bullets angewafunga mabao mengi, amebainisha kuwa Yanga ni timu kubwa huku akibainisha kuwa mshambuliaji wa Simba, Moses Phiri ni moja ya washambuliaji wazuri huku mzungu wa Simba akiwa ni wakawaida kwani hata Zawad Mauya huwa anafanya hivyo
ANAZIDI kuimarika akiwa langoni, Aboutwalib Mshery na alipewa dakika 90 mbele ya Zalan FC mchezo wa kwanza na ule wa pili alitumia dakika 45. Sababu ya kupewa nafasi kikosi cha kwanza ni kutokana na maumivu ambayo alikuwa nayo kipa namba moja, Diarra Djigui hivyo kazi ikawa kwake kutimiza majukumu ya timu. Kutinga hatua ya awali…
DAKIKA 180 kimataifa dhidi ya Nyassa Big Bullets lango la Simba lilikuwa salama chini ya kiongozi Aishi Manula aliyekuwa langoni. Huyu ni kipa namba moja ambaye anazidi kuwa imara kila anapokaa langoni na huwa anafanya makosa ambayo yanapelekea kufungwa. Kufungwa haina maana kwamba hayupo imara hapana ni matokeo ambayo yanatokea uwanjani na wakati unakuja anafanyia…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameanza kuwafuatilia wapinzani wake kimataifa katika hatua ya awali Ligi ya Mabingwa unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 7 na 9 Uwanja wa Mkapa. Yanga imetinga hatua hiyo kwa jumla ya ushindi wa mabao 9-0 dhidi ya Zalan FC katika mechi mbili ambazo wamecheza. Ni Al Hilal ya Sudan itamenyana na Yanga…
MTIKISIKO unapatikana kila baada ya matokeo mabaya kwenye mioyo ya Watanzania baada ya matokeo mabovu huwa ni mkubwa. Hili linatokana na namna ambavyo kila mmoja anapenda kuona mafanikio kwa wachezaji wa ndani wanaocheza timu ya taifa. Haiajalishi ni Timu ya Taifa ya Wanawake, Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ama timu ya Taifa ya…