MASTAA WAWILI SIMBA WAONGEZA NGUVU KUIVAA AL HILAL
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema mchezo wa leo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Al Hilal ya Sudan ni muhimu kwao kuzidi kupata ushindi. Mchezo wa leo unakuwa ni wapili baada ya ule wa awali kushinda mabao 4-2 dhidi ya Asante Kotoko na nyota wa mchezo akiwa ni Clatous Chama aliyefunga mabao mawili….