
NABI KUIKABILI COASTAL UNION, AKIRI KUTUMIA NGUVU KWA POLISI
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema walitumia nguvu nyingi kwenye msako wa pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania hivyo wanajipanga kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Coastal Union. Mchezo huo unatarajiwa kuwa ni wa pili kwa Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa ligi utachezwa kesho Agosti 20, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Coastal…