FT:SIMBA 2-0 ST GEORGE,UWANJA WA MKAPA

SIMBA imeshinda mabao 2-0 dhidi ya St George kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mchezo maalumu kwenye kilele cha Wiki ya Simba ikiwa ni mchezo wa kwanza kwa Zoran Maki ambaye ni raia wa Serbia. Mabao ya Simba yamefungwa na mzawa Kibu Dennis na Nelson Okwa ambaye aliingia kipindi cha pili akitokea…

Read More

MAPUMZIKO:SIMBA 1-0 ST GEORGE

UWANJA wa Mkapa, mchezo wa kirafiki ni mapumziko, Simba 1-0 Saint George SC mtupiaji ni Kibu Denis. Mzawa huyo ametupia bao hilo kwa shuti kali akitumia mguu wake wa kulia lililomshinda mlinda mlango wa St.George. Leo ni kielel cha Simba Day ambapo kuna burudani zinaendelea Uwanja wa Mkapa. Pia mastaa wa Simba ikiwa ni pamoja…

Read More

MAANDALIZI MUHIMU KWA SERENGETI GIRLS

KUWEZA kufuzu Kombe la Dunia ni hatua moja muhimu na kuweza kufanya maandalizi mazurini hatua ambayo inahitajika kuweza kufanyika kwa sasa. Tunaona kwamba Serengeti Girls ambayo ni Timu ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17 ina kibarua cha kufanya kimataifa. Kombe la Dunia lipo njiani ambapo inatarajiwa kuweza kufanyika nchini India kuanzia Oktoba 11-30…

Read More

HAJI MANARA NA INJINIA WAITWA KWENYE KAMATI YA MAADILI

KITENDO cha kuibuka Uwanja wa Mkapa,Agosti 6,2022 na kuwatambulisha wachezaji, Haji Manara aliyekuwa msemaji wa Yanga akiwa kifungoni kimemrejesha kwa mara nyingine Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF). Ikumbukwa kwamba Manara alifungiwa miaka miwili na hakupaswa kushughulika na masuala ya mpira kwa muda huo.  Pia Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said naye…

Read More

JONAS MKUDE NI MKALI WAO SIMBA,ANASTAHILI PONGEZI KIDOGO

KWENYE tamasha la leo la Simba Day ambalo linatarajiwa kufanyika Uwanja wa Mkapa kwa mastaa wa Simba kuna Legend mmoja anaitwa Jonas Mkude. Kiungo huyo anastahili heshima kutokana na kudumu ndani ya kikosi hicho kwa muda mrefu akiwa ni mchezaji pekee ambaye amedumu hapo tangu alipopandisha msimu wa 2011/12 kutoka Simba B. Mastaa wengine wote…

Read More

PITSO:YANGA INAHITAJI MUDA KUWA IMARA

KOCHA mwenye uzoefu mkubwa Afrika raia wa Afrika Kusini ambaye aliweza kubwaga manyanga ndani ya Klabu ya Al Ahly ya Misri,Pitso Mosimane amesema kuwa Klabu ya Yanga ina wachezaji bora lakini wanahitaji muda kuwa imara. Pitso alikuwepo kwenye Tamasha la Wiki ya Mwananchi,Agosti 6,2022 alishuhudia Uwanja wa Mkapa ubao ukisoma Yanga 0-2 Vipers kwenye mchezo…

Read More