
UCHAMBUZI WA GEORGE MPOLE, HAKUNA UBISHI NDO MFUNGAJI BORA MZAWA KWA SASA
NA Hussein Msoleka MAISHA ya soka yana siri kubwa na changamoto nyingi, kuna wakati unaweza kutamani siku zirudi nyuma ili uweze kuona yale ambayo tuliyashuhudia huko nyuma. Hivi sasa hakuna ubishi wowote kuwa George Mpole ndiye mshambuliaji bora zaidi mzawa kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu. Tayari straika huyu wa Geita Gold FC amehusika kwenye…