
KOCHA WA AL AHLY YA MISRI ABWAGA MANYANGA
KLABU ya Al Ahly ya Misri imefikia makubaliano ya kuachana na Pitso Mosimane ambaye alikuwa ni Kocha Mkuu wa timu hiyo ya Misri. Hatua hiyo ya kuachana na Al Ahly ni maamuzi ya Pitso mwenyewe baada ya kikao na bodi ya wakurugenzi ya Klabu ya Al Ahly ambayo ni moja ya timu kubwa na bora…