TANZANIA YAFUNZU KOMBE LA DUNIA
TIMU ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17, Serengeti Girls leo Juni 5,2022 imeweza kukata tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia kwa ushindi wa bao 1-0 Cameroon. Mchezo wa leo uliochezwa Uwanja wa Amaan,Zanzibar ulikuwa ni wa marudio baada ya ule wa kwanza ugenini Tanzania kushinda mabao 4-1. Cameroon walikuja leo kwa mpango wa…