
MADRID YASHINDA KIMAAJABU LIGI YA MABINGWA ULAYA
KLABU ya Real Madrid imeonyesha uimara wake kwa kupata ushindi wa maajabu katika mchezo wa nusu fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kupindua matokeo mbele ya Manchester City. Sasa Real Madrid inakwenda kukutana na Liverpool kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Liverpool huku Karim Benzema akifunga penalti ya ushindi kwa Real Madrid…