
RASMI BEKI ALIYEWAPA TABU SIMBA ASAINI MIAKA MIWILI YANGA
KIBWANA Shomari, beki wa kikosi cha Yanga ambaye aliwapa tabu watani zao wa jadi Simba mechi zote mbili msimu huu kwenye ligi ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo. Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza, Kibwana alikula sahani moja na Bernard Morrison ambaye alikwama kuifunga Yanga na mchezo wa pili alipopewa Pape Sakho…