RUDIGER KUIBUKIA REAL MADRID

KOCHA wa Chelsea, Antonio Conte amethibitisha kuwa beki wa kikosi cha timu hiyo, Antonio Rudiger ataondoka kikosini hapo ifikapo mwisho wa msimu huu. Klabu ya Real Madrid inapewa chapuo la kuinasa saini ya nyota huyo ambaye ana uwezo mkubwa kwenye suala a kutimiza majukumu yake awapo uwanjani. Nyota huyo anatajwa kuondoka bure kwa kuwa dili…

Read More

SIMBA:HATUFIKIRII MCHEZO WETU NA YANGA

AHMED Ally, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano ndani ya Simba amesema kwa sasa hawafikirii mchezo wao dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30,2022. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu zote kuwa na uhitaji wa pointi tatu muhimu za mchezo huo wa ligi. Ally amesema wanatambua mchezo huo upo ila…

Read More

MAYELE ANA HESABU HIZI KWA SIMBA

FISTON Mayele, mshambuliaji namba moja ndani ya Ligi Kuu Bara amesema kuwa mchezo ujao dhidi ya Simba anaamini kwamba akipewa nafasi atafunga. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu,Pablo Franco ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Yanga, Aprili 30 kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Kwenye msimamo Yanga inaongoza ikiwa na pointi 54…

Read More

POCHETTINO KUTIMULIWA PSG

IMEELEZWA kuwa Klabu ya PSG ipo mbioni kumtimua kocha Mauricio Pochettino kutokana na kushindwa kufikia malengo ambayo walikuwa wanahitaji. Kocha ambaye anapewa chapuo la kuwa kocha ndani ya kikosi cha PSG ni Zinedine Zidane pamoja na Antonio Conte. Wikiendi iliyopita Pochettino aliiongoza PSG kutwaa taji la Ligue 1 lakini kocha huyo yupo mbioni kutimuliwa. Uongozi…

Read More

LIGI KUU ENGLAND, C.PALACE 0-0 LEEDS UNITED

UWANJA wa Selhurst mchezo umekamilika kwa Crystal Palace 0-0 Leeds na kuwafanya waweze kugawana pointi mojamoja kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. Ulikuwa ni mchezo wa kujilnda kwa timu zote mbili na hawakuweza kutengeneza nafasi nyingi kwenye mchezo huo ambao ulikuwa ni mgumu kwa kila timu. Leeds wamekosa pointi tatu ambazo zingewaongozea nguvu ya kujinasua…

Read More

SIMBA BADO HAWAIFIKIRII MECHI YAO DHIDI YA YANGA

UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa bado haufikirii mchezo wao dhidi ya Yanga kwa kuwa wametoka kucheza mechi kubwa ya hatua ya robo fainali dhidi ya Orlando Pirates. Aprili 24 Uwanja wa Orlando, ubao ulisoma Orlando Pirates 1-0 Simba ikiwa ni mchezo wa hatua ya robo fainali ya pili na kufanya wawe wamefungana bao…

Read More

KIUNGO YANGA AINGIA ANGA ZA AZAM FC

IMEELEZWA kuwa kiungo wa kazi aliyewahi kucheza ndani ya Yanga, Mukoko Tonombe yupo kwenye rada za mabosi Azam FC ili kuweza kuinasa saini yake. Nyota huyo ni miongoni mwa wachezaji ambao waliweza kufanya vizuri ndani ya Yanga msimu uliopia wakati timu hiyo ilipomaliza ikiwa nafasi ya pili. Pia alikuwa kwenye kikosi ambacho kiliweza kutinga hatua…

Read More

SIMBA NDANI YA DAR,KANOUTE,INONGA,MANULA NDANI

WACHEZAJI wa Simba pamoja na viongozi usiku wa kuamkia leo Aprili 26 wameweza kurejea salama Tanzania wakitokea nchini Afrika Kusini ambapo walikuwa na mchezo wa hatua ya robo fainali. Ilikuwa ni robo fainali ya pili na ya maamuzi ambapo Simba iliweza kuambulia kichapo cha bao 1-0 ugenini. Kwa kuwa walikuwa wameshinda nao pia bao 1-0…

Read More

NAMNA REKODI DUME ILIVYOTIBULIWA UWANJA WA MKAPA

ZILE ngome za ubishi kati ya vinara wa Ligi Kuu Bara,Yanga dhidi ya wakali kutoka kusini Namungo zimevunjwavunjwa na hatimaye mbabe ameweza kupatikana kwenye mchezo wa sita. Dakika 450 za machozi na jasho zimevunjwa Yanga imeibuka na ushindi baada ya kuweza kucheza mechi tano ambazo ni dk 450 bila kuambulia ushindi na badala yake wote…

Read More

MANARA:TUNA WAHESHIMU SIMBA,ILA TUNATAKA POINTI TATU

Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wamewazidi wapinzani wao Simba pointi 13 ambazo ni nyingi. Manara amesema kuwa hilo haliwafanyi waamini kwamba watashinda mchezo wao badala yake wanawaheshimu Simba. “Tumewazidi pointi 13 na tunajua kwamba tuna uwiano mzuri kwa mabao ya kufungwa na kufungwa lakini haina maana kwamba tutawadharau wapinzani wetu hapa. “Ambacho…

Read More

SIMBA KUTUA BONGO LEO WAKITOKEA AFRIKA KUSINI

BAADA ya kupoteza mbele ya Orlando Pirates wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika leo Aprili 25 wanarejea. Ni jana Aprili 24 ulipigwa mpira wa kazi na dk 45 Simba walikuwa imara katika eneo la ulinzi huku lile la ushambuliaji ikiwa ni hafifu kwa kuwa walikuwa wakitengeneza mashambulizi ya kushtukiza. Dakika ya 58 alipoonyeshwa…

Read More

PRICE DUBE NI WA MWISHO KUIFUNGA YANGA

NYOTA Prince Dube mshambuliaji wa mwisho kuifunga Yanga na ikayeyusha pointi tatu mazima kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ilikuwa Uwanja wa Mkapa,Aprili 25,2021. Leo Aprili 25, 2022 ni mwaka mmoja umemeguka tangu Dube kuitungua Yanga na msimu huu wa 2021/22 katupia bao 1. Kwenye ligi,Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi imecheza jumla ya…

Read More