SIMBA YAGOMA KUWA DARAJA,YAWAITA MASHABIKI KWA MKAPA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hautakuwa daraja kwa wapinzani wao,Orlando Pirates ya Afrika Kusini katika mchezo wao wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba wanatarajia kuwa wenyeji wa Orlando Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar na baada ya hapo watarudiana Aprili 24, huko Sauzi Ahmed Ally, Meneja wa Kitengo cha Habari…