FT:LIGI KUU:MTIBWA SUGAR 0-2 YANGA
UWANJA wa Manungu Complex mchezo umekamilika na ubao umesoma Mtibwa Sugar 0-2 Yanga. Ni dakika ya 45+5 bao hilo lilipachikwa na kuwafanya Mtibwa Sugar wasiwe na chaguo la kufanya. Mtupiaji wa bao la kuongoza ni Said Ntibanzonkiza ambaye ametumia pasi ya Feisal Salum. Hakuna timu iliyoonyeshwa kadi ya nyekundu huku timu zote mbili zikicheza kwa…