Home Entertainment Marioo – YANGA Tamu (Official Video)

Marioo – YANGA Tamu (Official Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo ametangaza rasmi kuwa shabiki wa Yanga. Utakumbuka Marioo alikuwa Simba na mara kadhaa alikuwa akishiriki katika matamasha ya Simba.

Marioo amesema kuwa sababu kubwa ya kuhama Simba na kujiunga na Yanga kwa sababu hapendi mawazo (Stress).

“Sasa nipo rasmi Yanga, zamani nilikuwa nashabikia timu ile nyingine. Mimi sipendi stress, tuenjoy na wimbo huu wa Yanga tamu,” amesema Marioo.

Previous articleMERIDIANBET WACHANGIA UBORESHAJI KITUO CHA POLISI MTONGANI
Next articleMZUNGUKO WA PILI UPO KARIBU,KAZI IENDELEE