MASTAA SENEGAL WAITAKA AFCON
SADIO Mane na Edouard Mendy wamesema kuwa Senegal wamepania kutwaa ubingwa wa Afcon 2021 ili kumpunguzia presha kocha wao Aliou Cisse. Senegal ambao walifika fainali katika Afcon iliyopita ya 2019 walikuwa miongoni mwa timu zilizopewa nafasi ya kuweza kufika fainali mwanzoni kabisa mwa mashindano haya. Ilishinda mechi ya kwanza kwa tabu dhidi ya Zimbabwe kisha…