VIDEO;ZAHERA AWAPA ONYO YANGA,AMTAJA ATAKAYEFUNGA HAT TRICK
MWINYI Zahera, Mkurugenzi wa benchi la Ufundi kwa Yanga upande wa Vijana amesema kuwa mchezo wa kesho kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga utakuwa ni mgumu kwa timu zote kulingana na plan, (mpango) wa timu huku akitaja kuwa maandalizi ya kila timu yapo tofauti. Ameweka wazi kwamba wachezaji wote wa Yanga wanajua kwamba mchezo…