YANGA HAO 16 BORA,MAYELE ATUPIA
NYOTA Fiston Mayele wa Yanga kipindi cha pili ameweza kupachika bao la ushindi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Bao hilo la Mayele lilipachikwa dakika ya 53 akiwa ndani ya 18 na kuwafanya mashabiki wa Yanga kunyanyuka jukwaani baada ya kuifunga Mbao FC. Ushindi huo unaifanya Yanga kutimga hatua ya…