>

SIMBA QUEENS YAIPIGA YANGA 4G

SIMBA Queens imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Yanga Princess katika mchezo wa Ligi ya Wanawake. Mchezo huo umechezwa leo Januari 8, Uwanja wa Mkapa na Simba Queens imesepa na pointi zote tatu. Mchezo ujao utakuwa ni wa mzunguko wa pili na unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mo Simba Arena.

Read More

NYOTA BARCELONA ASAINI ASTON VILLA

KIUNGO mshambuliaji wa FC Barcelona, Phillipe Coutinho amejiunga kwa mkopo kwenye klabu ya Aston Villa hii baada ya Villa kudhibitisha kupitia mitandao yake ya kijamii juu makubaliano ya timu zote mbili juu ya sahihi ya Mbrazili huyo.   Coutinho anarejea tena nchini Uingereza baada ya kuondoka kwenye majira ya joto mwaka 2018 alipojiunga na miamba ya Uhispania,…

Read More

NI YANGA V AZAM, SIMBA V NAMUNGO, KOMBE LA MAPINDUZI

KITU pekee ambacho mashabiki wa Simba na Yanga wanakifurahia kwa sasa ni kuziona timu hizo zikiendelea kukipiga kwenye Kombe la Mapinduzi licha ya kubanwa kwenye mechi zao za mwisho za makundi. Vigogo hao wa soka bara licha ya kuwa na sehemu kubwa ya vikosi vyao lakini walishindwa kuzibeba pointi tatu kwenye mechi hizo za mwisho ambapo waliambulia pointi moja tu. Yanga ndiyo walikuwa wa kwanza kucheza ambapo walitoshana…

Read More

YANGA WAPANIA KUVUNJA REKODI KWA SIMBA

KOCHA Mkuu wa Yanga Princess, Edna Lema ‘Morinyo’ ameweka wazi kuwa anataka kufuta uteja mbele ya Simba Queens kwa kushinda kwenye mechi yao ya dabi itakayopigwa leo Jumamosi Januari 8 2022 katika Uwanja wa Mkapa, Dar. Kocha huyo alitoa kauli hiyo wakati wa mkutano kati ya timu hizo na Waandishi wa Habari uliofanyika jana Ijumaa katika Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Edna amesema: “Sina matokeo mazuri au Yanga Princess haina matokeo mazuri mbele ya Simba, ila huu ni mchezo na matokeo ni baada ya…

Read More