AZAM FC YAPATA MRITHI WA SURE BOY ALIYESAINI YANGA

KIUNGO wa mpira Ibrahim Ajib baada ya kusitisha mkataba wake na mabosi wake wa zamani Simba ametambulishwa ndani ya kikosi cha Azam FC. Ajib alikuwa akicheza ndani ya kikosi cha Simba lakini hakuwa na nafasi kikosi cha kwanza jambo ambalo limewafanya mabosi wake kuamua kusitisha mkataba wake. Ni dili la mwaka mmoja amesaini ndani ya…

Read More

BREAKING:IBRAHIM AJIBU APEWA MKONO WA KWA KHERI SIMBA

BREAKING:UONGOZI wa Klabu ya Simba umethibitisha kusitisha mkataba wa kiungo fundi Ibrahim Ajibu. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Simba imeeleza kuwa imefikia makubaliano ya pande zote mbili kwa maslahi mapana kusitisha mkataba wa kiungo huyo mshambuliaji. Ajibu alirejea nyumbani kwa mara nyingine tena akitokea Yanga ambapo alipokuwa huko alikuwa ni nahodha na alipofika Simba mambo…

Read More

MTANZANIA ATUA ULAYA KUBORESHA MISINGI

NYOTA Omary Muvungi kutoka kituo cha mpira wa miguu cha Cambiasso Sports, Omary Mvungi amefanikiwa kwenda nhini Uingereza kwa mwaliko kutoka kwa mchezaji wa zamani wa Chelsea Denis Wise. Nyota huyo ambaye ni mshambuliaji alipata fursa pia ya kupiga picha na mchezaji huyo na nahodha wa zamani wa Chelsea, Dennis Wise baada ya kutua nchini…

Read More

KIPA SIMBA ATAJWA KUIBUKIA MTIBWA SUGAR

JEREMIA Kisubi kipa namba nne wa Simba ambaye aliibuka hapo akitokea kikosi cha Tanzana Prisons anatajwa kuibuka ndani ya Mtibwa Sugar. Habari zinaeleza kwamba nyota huyo ameomba atolewe kwa mkopo ili aweze kupata changamoto mpya kwa kuwa ndani ya Simba hana nafasi ya kuanza kwenye mechi za ushindani. Mpaka sasa Simba ikiwa imecheza mechi 9…

Read More

VIDEO:CHEKI MAUJUZI YA HASSAN DILUNGA,ZIMBWE NA BWALYA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba chini ya Kocha Mkuu Pablo Franco kwa sasa wanaivutia kasi Azam FC kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Januari Mosi,2022. Miongoni mwa wachezaji ambao waliweza kuonyesha maujuzi yao Uwanja wa Bunju Complex kuelekea mchezo huo ni pamoja na Mohamed Hussein Zimbwe,…

Read More

TORRES NI MALI YA BARCELONA

Nyota wa kimataifa wa Hispania Ferran Torres amekamilisha dili lake la kujiunga na FC Barcelona akitokea Manchester City dili linalotajwa kuwa na thamani ya pauni milioni 61. Torres mwenye umri wa miaka 21, anarejea Hispania baada ya miezi 18 tangia aondoke Valencia na kujiunga na Manchester City ambapo sasa ameingia mkataba wa miaka sita (2027)…

Read More

KOCHA SIMBA KUIBUKIA NAMUNGO FC

BAADA ya Hitimana Thiery aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Simba kuamua kuachana na mabosi hao anatajwa kuibukia Namungo FC. Desemba 28,2021 Simba walitangaza rasmi kufikia makubaliano ya kuachana na kocha huyo. Kwa sasa Namungo FC ipo kwenye hatua za mwisho kuweza kumtambulisha kocha wa timu hiyo baada ya Hemed Morocco kubwaga manyanga kutokana na timu hiyo…

Read More

MAYANGA:TUNAPAMBANA KWA AJILI YA TIMU

VITALIS Mayanga mshambuliaji namba moja wa Polisi Tanzania amesema kuwa wanapambana kwenye kila mechi ili kuwea kupata matokeo chanya kwa ajili ya timu. Polisi Tanzania imekuwa kwenye mwendo mzuri msimu wa 2021/22 huku Mayanga akiwa amejenga ushkaji na nyavu kwa kuwa amekuwa akifunga na kutengeneza pasi za mabao. Ikiwa imecheza mechi 11 na kufunga mabao…

Read More

MUKOKO AINGIA ANGA ZA SIMBA,ATAJWA KUTOKUWA NA FURAHA

IMEELEZWA kuwa kiungo mkabaji ndani ya kikosi cha Yanga, Mkukoko Tonombe amegomea mkataba mpya kwa ajili ya kuendelea kuitumikia timu hiyo. Mukoko ndani ya Yanga kwa sasa amepoteza nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza msimu huu kutokana na uwepo wa Khalid Aucho na Yanick Bangala ambao wamesajiliwa msimu huu. Wakati Mukoko akiwa kwenye hatihati kubaki Yanga, taarifa kutoka Simba zinadai kwamba, tayari uongozi wa klabu…

Read More