SIMBA NDANI YA TABORA KUIVUTIA KASI KMC
KIKOSI cha Simba leo Desemba 22 kimewasili salama Tabora kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC. Mchezo huo wa ligi unatarajiwa kuchezwa Desemba 24, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Ikiwa ipo nafasi ya pili na pointi 18 baada ya kucheza mechi 8 inakutana na KMC iliyo nafasi…