
FT: YANGA 4-0 IHEFU FC
USHINDI wa mabao 4-0 dhidi ya Ihefu FC Uwanja wa Mkapa katika mchezo wa Kombe la Shirikisho raundi ya tatu unawafanya waweze kutinga raundi ya nne. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ilipachika mabao 3-0 kipindi cha kwanza na kuwafanya waende vyumba vya kubadilishia nguo wakiwa vifua mbele. Watupiaji wa Yanga ni Heritier Makambo…