MAKUSU AFUNGUKIA ISHU YAKE KUIBUKIA SIMBA AMA YANGA

MSHAMBULIAJI wa zamani wa AS Vita na Orlando Pirates, Jean Marc Makusu Mundele, ameweka wazi kuvutiwa na timu za Simba na Yanga huku akiweka wazi yupo tayari kujiunga na mojawapo ya timu hizo. Makusu kwa sasa anakipiga DC Motema Pembe ya DR Congo mara baada ya kuwa na maisha magumu ndani ya Orlando Pirates. Akizungumza na Spoti Xtra moja kwa moja kutoka nchini…

Read More

NABI AKABIDHIWA RUNGU LA USAJILI

IKIWA zimebaki sikutatu kabla dirisha dogo la usajili hapa nchini halijafunguliwa, uongozi wa Yanga umefunguka kuwa katika kuhakikisha wanafanikisha mpango wao wa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, umejipanga kukiongezea nguvu kikosi hicho kwa kushusha majembe mapya, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi akiwa mwamuzi wa mwisho. Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa Desemba 15, mwaka huu na kudumu kwa takribani mwezi mmoja. Akizungumza na Spoti Xtra, Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi…

Read More

NABI:HATUKUTUMIA NAFASI AMBAZO TULITENGENEZA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawakutumia nafasi ambazo walizitengeneza kwenye mchezo wao dhidi ya Simba. Desemba 11, Uwanja wa Mkapa ulikamilika kwa timu mbili za Simba na Yanga kutoshana nguvu bila kufungana. Nabi ameweka wazi kwamba hakukuwa na timu ambayo ilikuwa na uhakika wa kupata ushindi kwenye mchezo huo kwa kuwa ilikuwa…

Read More