
PABLO AANZA KAZI SIMBA
PABLO Franco, raia wa Hispania ambaye ni kocha mpya wa Simba, leo Novemba 12 emeanza rasmi kufundisha wachezaji wa Simba. Kocha huyo ambaye amechukua mikoba ya Didier Gomes raia wa Ufaransa ambaye alibwaga manyanga Oktoba 26 amesaini dili la miaka miwili kuwa ndani ya kikosi hicho. Katika mazoezi ambayo yamefanyika Uwanja wa Boko Veteran alikuwa…