KMC YAPOTEZA KWA MARA NYINGINE TENA

IKIWA ugenini leo Februari 25 imepoteza kwa mara nyingine tena ukiwa ni mchezo wa ligi. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex umesoma Azam FC 1-0 KMC. Ni mchezo wa pili mfululizo KMC kupoteza ikiwa Dar katika msako wa pointi tatu ikiwa inaongozwa na nahodha Emmauel Mvuyekule. Ilitoka kunyoshwa bao 1-0 dhidi…

Read More

MZUNGU WA SIMBA USAJILI WAKE WAWAPA JEURI YA KUTWAA MATAJI

BAADA ya uongozi wa Simba kukamilisha usajili wa straika Mserbia, Dejan Georgijevic, mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Ismail Rage, amefunguka kuwa, msimu huu wanakwenda kurudisha mataji yote waliyopoteza msimu uliopita. Simba imeendelea kujiimarisha kwenye eneo lake la ushambuliaji ambapo msimu huu wamekamilisha usajili wa viungo washambuliaji Nelson Okwa, Moses Phiri, Augustine Okrah na straika…

Read More

MAYELE NA KAGERE WAPO KWENYE VITA YAO

WASHAMBULIAJI wawili ndani ya timu zenye maskani yake pale Kariakoo Yanga na Simba wapo kwenye vita nzito ya kutafuta ufalme wa kutupia mabao kutokana na kasi yao ya kutupia kwa Fiston Mayele wa Yanga na Meddie Kagere wa Simba kuzidi kuwa kubwa. Mfalme kwenye suala la kutupia kwa msimu uliopita ni nahodha wa Simba, John…

Read More

VIDEO:DOZI YA PABLO KWA WAWA,KAGERE,MUGALU IPO HIVI

NYOTA wa Simba chini ya Kocha Mkuu Pablo Franco wanaendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Januari Mosi 2022. Miongoni mwa wachezaji ambao wanapewa dozi na Pablo ni pamoja na beki Pascal Wawa, Henock Inonga, Jonas Mkude, Meddie Kagere na Chris Mugalu.

Read More

AJIBU APIGA HESABU NDEFU

BAADA ya kusaini dili la mwaka mmoja ndani ya kikosi cha Azam FC kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu amepiga hesabu ndefu za kufanya vizuri kwa ajili ya Tanzania na mashabiki wa Azam FC. Desemba 30 Ajibu ambaye alikuwa anakipiga ndani ya Simba alitambulishwa rasmi Azam FC kwa kandarasi ya mwaka mmoja. Anakuwa ni mchezaji wa kwanza…

Read More

BARAZA:TUPO TAYARI KUIKABILI SIMBA

FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaoatarajiwa kuchezwa kesho, Desemba 18. Itakuwa ni Uwanja wa Kaitaba ambapo tayari timu ya Simba imeshawasili Bukoba kwa ajili ya maandalizi ya mwisho wa mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa….

Read More