TAIFA STARS KAMILI KWA AFCON
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ipo tayari kwa ajili ya AFCON 2023 inayotarajiwa kufanyika Ivory Coast ambapo tayari imeshawasili kwa ajili ya maandalizi ya mwisho. Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ameweka wazi kuwa kila mchezaji yupo tayari na wanaamini watafanya vizuri kwenye mechi ambazo watacheza. Stars ilifanya mazoezi Stade Auguste Denis…