Klabu ya Young Africans Sc imethibitisha kukamilisha usajili wa aliyekuwa Mshambuliaji wa Azam Fc, Prince Dube (27) raia wa Zimbabwe kama mchezaji mpya klabuni hapo kwa mkataba wa miaka miwili.
YANGA YAMTAMBULISHA MSHAMBULIAJI WA AZAM, PRINCE DUBE