
FEISAL SALUM YUPO HAPA KWA SASA, KAZI INAENDELEA
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo Feisal Salum bado yupo ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2024/25. Ilikuwa inatajwa kwamba Fei Toto alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada za Simba iliyokuwa inatajwa kwamba inahitaji saini yake. Fei kwa wazawa ni namba moja kwenye kucheka na nyavu…