HAWANA jambo dogo Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ambapo wameendelea kutambulisha nyota wapya wa kazi kuelekea msimu wa 2024/25. Ni Aziz Andambwile aliyekuwa ndani ya Singida Fountain Gate ni mali ya Yanga kwa sasa tayari kwa changamoto mpya kuelekea msimu mpya.