
BAADA YA UTAMBULISHO WA LAMECK LAWI KLABU YA SIMBA, UONGOZI WA COASTAL UNION WAFUNGUKA MAZITO
Baada ya utambulisho wa Lameck Lawi kama mchezaji mpya wa klabu ya Simba, Uongozi wa Coastal Union kupitia kwa Afisa Habari wake Abbas El Sabri umefunguka kwamba hautambui utambulisho huo na kubainisha kwamba hizo ni taarifa za kufurahisha na kuchekesha za mitandaoni. “Siku hizi mitandaoni kuna mambo mengi sana wakati mwingine kuna mambo ya kufurahisha…