SIMBA YAPIGA MKWARAMZITO
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amepiga mkwara mzito kwa kusema kuwa washambuliaji waliosajiliwa watafunga mabao mengi kwelikweli. Ipo wazi kwamba Simba imeachana na Moses Phiri na mshambuliaji wao namba moja Jean Baleke kwenye dirisha dogo la usajili. Nyota wapya waliosajiliwa kwa upande wa ushambuliaji ni Pa Jobe na Fred Michael….