
AMEANZA NA HILI YANGA CLATOUS CHAMA
MWAMBA Clatous Chama yupo ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ambapo ameanza kazi huko kwa maandalizi ya msimu wa 2024/25.
MWAMBA Clatous Chama yupo ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ambapo ameanza kazi huko kwa maandalizi ya msimu wa 2024/25.
KIPA wa mpira Mohammed Kamara anatarajia kuwasili nchini leo Julai 10 2024 kwa ajili ya kukamilisha dili la kujiunga na Klabu ya Singida Black Stars ambayo inashiriki Ligi Kuu Bara. Mbali na kushiriki Ligi Kuu Bara Singida inashiriki mashindano ya Kagame na Julai 9 2024 ilikuwa uwanjani kusaka ushindi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam…
HAWANA jambo dogo Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ambapo wameendelea kutambulisha nyota wapya wa kazi kuelekea msimu wa 2024/25. Ni Aziz Andambwile aliyekuwa ndani ya Singida Fountain Gate ni mali ya Yanga kwa sasa tayari kwa changamoto mpya kuelekea msimu mpya.
NDANI ya kikosi cha Simba kilichokweka kambi nchini Misri kwa maandalizi ya msimu wa 2024/25 kuna nyota wengi wapya kwa ajili ya kutimiza majukumu 2024/25 na miongoni mwao ni nyota hao ni pamoja na Valentino Mashaka
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wameweka kambi Zanzibar ikiwa ni mwendelezo wa maandalizi ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika. Azam FC chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo ina kibarua cha kupeperusha bendera kwenye anga la kimataifa jambo ambalo linafanyiwa kazi kwa umakini ili kupata matokeo mazuri kitaifa na…
Unyama Upo Kasino tu, Jiandae kuibuka na Mamilioni kwa kucheza mchezo wa Sloti ya 100 Super Icy, unapatika kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Kucheza kasino unatakiwa kujisajili hapa kisha andaa mtaji mdogo upate mkwanja mrefu. 100 Super Icy ni mchezo mpya wa sloti wenye kusisimua kutoka kwa watengenezaji wa michezo ya kasino ya…
MABORESHO ndani ya kikosi cha Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi yanaendelea ambapo wamemtambulisha mtu mwingine wa kazi ndani ya kikosi hicho. Anaitwa Aziz Andambwile ambaye alikuwa anakipiga ndani ya kikosi cha Singida Fountain Gate msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Julai 9 2024 Aziz ametambulishwa Yanga baada ya kufanyiwa vipimo vya afya tayari…
Hivi ikitokea umepata bahati ya kuingia kwenye mashindano ya kushindania Mamilioni, ukiwa kinara kwenye mbio hizo utachukua kiasi gani cha pesa, endapo utapata nafasi ya kujichagulia kiwango? Jisajili Meridianbet Kasino kuwa mshindi. Kupitia Promosheni mpya mjini ya Kasino, unaweza kuwa Milionea kirahisi kabisa, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet iliyopo kwenye promosheni…
CHUMA cha kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Prince Dube kimeanza kazi kwa ajili ya msimu mpya wa 2024/25 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ipo wazi kwamba Julai 8 2024 Dube ambaye ni muuaji anayetabasamu alikuwa na uzi wa kijani na njano na kuanza mazoezi kwenye changamoto yake mpya….
UONGOZI wa Simba umefungukia kuhusu wachezaji wake ikiwa ni pamoja na Aishi Manula ambaye ni kipa namba moja wa Simba, Babaccar Sarri kiungo mgumu Sadio Kanoute ambao hawapo kwenye msafara ulioibukia Misri kwa maandalizi ya kambi kuelekea msimu wa 2024/25.
BADO yupoyupo sana ndani ya kikosi cha Yanga mwamba Kibwana Shomari ambaye ni mzawa baada ya kuongeza kandarasi nyingine. Yanga kupitia kwa Ofisa Habari Ali Kamwe walibainisha kwamba watafanya usajili bora utakaozingatia vigezo vya uwezo kwa wachezaji ili kuongeza ushindani ndani ya timu. “Kila mchezaji ana nafasi ya kuonyesha uwezo wake na tunaamini kwenye ubora…
MWAMBA Ayoub Lakred ataendelea kuwa ndani ya kikosi hicho baada ya kuongeza kandarasi nyingine hivyo ni uhakika msimu wa 2024/25 atakuwa na uzi wenye rangi nyekundu na nyeupe. Ipo wazi kwamba awali Lakred ilikuwa inatajwa kuwa kipa huyo yupo kwenye hesabu za kurejea Morocco ambapo kuna timu kubwa zilikuwa zinawania saini yake. Miongoni mwa timu…
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga wameendelea na maboresho ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu,Miguel Gamondi kwa kumtambulisha kipa wa mpira kuwa ingizo jipya. Ni kipa wa kazi Khomeiny Abubakary akitokea Ihefu atakuwa kwenye changamoto mpya ndani ya Yanga kwa msimu wa 2024/25 akitimiza majukumu yake. Uwepo wake ndani ya Yanga utaongeza idadi ya…
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo Feisal Salum bado yupo ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2024/25. Ilikuwa inatajwa kwamba Fei Toto alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada za Simba iliyokuwa inatajwa kwamba inahitaji saini yake. Fei kwa wazawa ni namba moja kwenye kucheka na nyavu…
TETESI za usajili zinasema Barcelona inatarajia kuongeza wachezaji wawili maarufu katika madirisha mawili yajayo ya uhamisho ya kiangazi, Nico Williams mwaka huu na kisha Erling Haaland mwaka 2025. Barcelona imeonyesha nia ya kuwasajili Erling Haaland na Nico Williams, lakini kuna changamoto kubwa za kifedha na kiutaratibu zinazohusika. Kwa Erling Haaland, hatua hii inategemea klabu hiyo…
MABOSI wa Yanga wamekamilisha dili la kuinasa saini ya mshambuliaji mwenye kupenda kufunga akiwa ndani ya uwanja jambo ambalo linaongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji ya mabingwa wa ligi Yanga msimu wa 2023/24. Nyota huyo alikuwa akiwapa tabu makipa wengi Bongo ikiwa ni pamoja na wale wa Simba ikiwa ni pamoja na Aishi Manula, Ayoub…
Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, Daniel Cadena ameipa mkono wa kwaheri klabu hiyo huku akieleza kuwa ulikuwa ni wakati mzuri kuhudumu ndani ya viunga vya Wekundu hao wa Msimbazi. “Siku kama ya leo Julai 6, 2023, nilifika nyumbani kwa SIMBA SC na kupokelewa kwa furaha. Leo, Julai 6, 2024, kwa sababu za kitaaluma, ninaondoka…