AMETIMULIWA KAMBINI KISA MAMELODI

Gilberto ametimuliwa kwenye kambi ya timu ya taifa ya Angola kabla ya mechi yao ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya Eswatini na Cameroon kutokana na kuchelewa kuwasili kambini na bila kuomba ruhusa baada ya kuitwa Kwenye kikosi hicho Gilberto amekuwa akihusishwa Kwa ukaribi zaidi kutua MAMELODI huku pia Yanga wakitajwa Kwa mbaaaaliiiii.

Read More

TETESI: YANGA KUACHANA NA WACHEZAJI SITA

Klabu ya Yanga SC imepanga kuachana na Nyota wake 6 ambao ni Mghana Agustine Okrah, kiungo Mahlatse Skudu Makudubela kutoka Afrika Kusini, Mkongo Joyce Lomalisa, Zawadi Mauya, Metacha Mnata na Joseph Guede kutoka nchini Ivory Coast. Taarifa za ndani zinasema tayari wa Uongozi wa Yanga SC wamemaliza kuwaongezea mikataba nyota wote watakaosalia kikosini hapo kwa…

Read More

?????? ?? ????????? USAJILI WA BOKA YANGA

Wing-back fundi Chadrack Boka (24) @chadrac.boka ndiye mchezaji wa 1 kusajiliwa na Yanga SC 24|25. Amesaini mkataba wa miaka miwili, kinachosubiriwa ni (ITC) yake pekee. Amechelewa kuwasili Nchini Tanzania kwa sababu klabu aliyotoka FC Lupopo haikutaka mchezaji huyo aondoke. FC Lupopo wanadai mchezaji huyo ni wao wamekiambia Chama cha soka Nchini DRC (FA) kisitume (ITC)…

Read More

CHEZA MICHEZO YA EXPANSE KASINO, UWE TAJIRI

Unawaza ni njia gani utaitumia kupiga pesa kirahisi, usiwaze Meridianbet Kasino ipo tayari kurudisha furaha yako kupitia shindano kubwa la kasino Expanse. Jisajili hapa na chagua mchezo wa kusakia utajiri. Meridianbet inatafuta washindi takribani 40, ambao watagawana mgao mkubwa wa Mamilioni, lakini sharti ni hadi wacheze michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse. ZAWADI ZIKOJE?…

Read More

JIPAKULIE MINYAMA MECHI ZA COPA AMERICA LEO

Je unajua kuwa siku ya leo kuwa unaweza ukaweka dau lako dogo na kubashiri mechi za COPA AMERICA na kujishindia mkwanja wa maana ndani ya Meridianbet? Jisajili na ubashiri hapa Robo Fainali itakuwa ni hii ya wababe wa kombe la Dunia, Argentina dhidi ya Ecuador majira ya saa kumi usiku huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa…

Read More

PATA MAMILIONI NA KASINO MTANDAONI

Historia ya Kasino inaonesha kwamba, watu wengi wanaocheza kasino hushinda kuliko kushindwa, Meridianbet Kasino ya Mtandaoni ni chimbo la utajiri na kukamilisha ndoto za mtu yeyote. Kutana na mchezo wa kasino unaitwa Vegas Mega Spin ni mchezo wa sloti wenye nguzo tano katika mistari mitatu na ina mistari 25 ya malipo iliyofungwa. Ili kupata ushindi…

Read More

SIMBA YATAMBULISHA BEKI WA KAZI

Klabu ya Simba imemtambulisha beki wa kati, Abdulrazack Mohamed Hamza (23) raia wa Tanzania, akitokea klabu ya Supersport United ya Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka miwili itakayomfanya nyota kuhudumu ndani ya Viunga vya Msimbazi hadi June 2026. Abdulrazack Hamza ambaye aliwahi kutamba na Mbeya City, KMC na Namungo FC anajiunga na Simba kama mchezaji…

Read More

MRITHI WA CHAMA SIMBA HUYU HAPA

Klabu ya Simba Sc imethibitisha kukamilisha usajili kiungo mshambuliaji Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coastkwa mkataba wa miaka miwili. Ahoua mwenye umri wa miaka 22 ametokea Stella Club d’Adjamé ya nchini kwao Ivory Coast huku akiwa ndiye MVP wa 2023/2024.

Read More