
SIMBA DAY ITAKUWA NA BALAA KINOMANOMA
KUELEKEA Simba Day inayotarajiwa kufanyika Agosti 3 2024 uongozi wa timu hiyo umebainisha kuwa kutakuwa na balaa zito kinomanoma. Ikumbukwe kwamba Hassan Dalali aliyekuwa mwenyekiti wa Simba anaingia kwenye rekodi ya waasisi wa Simba Day ambayo ilikuwa ikifanyika ifikapo Agosti 8. Sababu kubwa ya Simba Day ni utambulisho wa benchi la ufundi, wachezaji wapya na…