
Djigui Diarra Aongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili Yanga
Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kuwa golikipa Djigui Diarra amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka 2026.
Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kuwa golikipa Djigui Diarra amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka 2026.
Keki za Clatous Chota Chama zilizoletwa na Wananchi makao makuu ya Klabu yetu JANGWANI. “Wengi wanauliza mpaka sasa tumenufaika vipi na utambulisho wa Chama. Mpaka sasa tumepokea taarifa za mashabiki wa upande wa pili ambao wamehamia Yanga akiwemo Baba Kamwe nae amemfuata Chama. Wote waliohama tunawaandalia siku maalumu ya kuwapokea” “Suala la Usajili wa Chama…
“Kuna mjadala nimeusikia eti Yanga kwanini wamemtambulisha mchezaji Mkubwa Chama bila jezi kwanza niwapongeze mmekiri kua ni mchezaji mkubwa pia mbona Mbape ametambulishwa lakini hakuna Jezi Rasmi Mbape kavaa mbona hamsemi”_____ Ally Kamwe – Afisa habari wa Yanga akizungumza na wanahabari.
Klabu ya Simba SC imemtambulisha mshambuliaji Steven Mukwala (24) Raia wa Uganda kuwa mchezaji mpya klabuni hapo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Asante Kotoko ya Ghana. Kwenye michezo 28 msimu uliopita Mukwala aliifungia Asante Kotoko magoli 14 na assist 2.
“Meridianbet imetambulisha Promosheni mpya ya kasino mtandaoni, inayotoa Mamilioni kwa washindi, Jisajili Meridianbet kuwa mshindi” Mashindano ya Cash Days yanapatina Meridianbet kwenye Kasino ya mtandaoni ambapo, ukicheza michezo inayoshindaniwa unajiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda mgao wa Bilioni 3 na Milioni Mia Sita 3,692,605,150/= TZS Promisheni hii ya kasino imegawanyika katika sehemu tofauti, na mwezi…
Yanga SC imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili utakaomalizika mwaka 2026 nyota wao Farid Mussa raia wa Tanzania. Nyota huyo ni moja ya nyota waandamizi wa klabu hiyo ambapo ameichezea toka mwaka 2020.
Mchambuzi nguli wa habari za michezo, Saleh Ally Jembe amemzungumzia marehemu Yusuph Manji kuwa alikuwa na mchango mkubwa kwa Klabu ya Yanga na mafanikio ambayo klabu hiyo imeyapata yalianzia kwa Manji.
Mchambuzi nguli wa habari za michezo, Saleh Ally Jembe amemzungumzia marehemu Yusuph Manji kuwa alikuwa na mchango mkubwa kwa Klabu ya Yanga na mafanikio ambayo klabu hiyo imeyapata yalianzia kwa Manji.
Ureno imeifuata Ufaransa kwenye hatua ya robo fainali ya EURO 2024 kufuatia ushindi wa penalti 3-0 dhidi ya Slovenia kwenye hatua ya 16 bora. FT: Portugal 0-0 Slovenia (ET 0-0) (P 3-0) Timu ya taifa ya Ufaransa imetinga hatua ya robo fainali ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 baada ya kuiondosha Ubelgiji kwa ushindi…
Klabu ya Simba imetangaza kukamilisha uhamisho wa winga wa kulia, Joshua Mutale kutoka klabu ya Power Dynamos ya nchini kwao Zambia. Mutale (22) raia wa Zambia amesaini mkataba wa miaka mitatu.
Klabu ya Raja Casablanca ya Morocco imetwaa ubingwa kombe la FA Nchini humo (Throne Cup) kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya AS FAR Rabat kwenye fainali. Kipigo hicho kinamfanya kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi kumaliza msimu bila kombe lolote. FT: AS FAR Rabat 1-2 Raja Casablanca ⚽ Zouhzouh 28’ ⚽ Bouzok 6’ ⚽…
Uhispania imetinga hatua ya robo fainali ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 kufuatia ushindi wa 4-1 dhidi ya Georgia katika mchezo wa hatua ya 16 bora. Spain itachuana na Germany kwenye robo fainali itakayochezwa Julai 5, 2024 katika dimba la MHPArena (Stuttgart). FT: Uhispania 4-1 Georgia ⚽ Rodri 39’ ⚽ Ruiz 51’ ⚽ Williams…
Aliyekuwa kocha wa Simba Sc, Abdelhak Benchikha ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya JS Kabylie ya Algeria kwa mkataba wa mwaka mmoja. Benchikha (60) raia wa Algeria alikuwa kocha wa Simba Sc kati ya Novemba 2023 mpaka Aprili 2024.
Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili Kiungo Mshambulia, Clatous Chota Chama raia wa Zambia akitokea Klabu ya Simba Chama anajiunga na Yanga akiwa Mchezaji Huru baada ya kumaliza mkataba wa kuitumikia Simba ambayo ameitumikia katika vipindi viwili tofauti
Uongozi wa Yanga umesema umepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarita ya kifo cha aliyewahi kuwa Mdhamini na Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji. Taarifa iliyotolewa na Club hiyo imesema Kifo cha Manji kimetokea leo June 30, 2024 Nchini Marekani alipokuwa akipatiwa matibabu. Rais wa Yanga, Eng Hersi Said amesema enzi za uhai wake, Yusuf…
Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania , Meridianbet wamefika maeneo ya Mbagala Chamazi kwaajili ya kutoa msaada wa vyakula kwa wajane ambao wana uhitaji kwaajili ya kuendeleza maisha yao. Kama tunavyojua kuwa kuwa mjane kwa namna nyingine huleta huzuni sana kwani mwanamke akiondokewa na mume wake yeye anakuwa ndio baba na ndio mama kama ana familia,…
KUELEKEA Simba Day inayotarajiwa kufanyika Agosti 3, 2024 uongozi wa timu hiyo umebainisha kuwa kutakuwa na balaa zito kinomanoma. Ikumbukwe kwamba Hassan Dalali aliyekuwa mwenyekiti wa Simba anaingia kwenye rekodi ya waasisi wa Simba Day ambayo ilikuwa ikifanyika ifikapo Agosti 8. Sababu kubwa ya Simba Day ni utambulisho wa benchi la ufundi, wachezaji wapya na…