BREAKING: GRACE MAPUNDA (TESSA) AFARIKI DUNIA

Habari za kusikitisha zilizotufikia asubuhi hii ya Novemba 2, 2024 zinaeleza kuwa, muigizaji nguli wa Bongo Movies, Grace Mapunda almaarufu Tessa anayeng’ara kwenye Tamthiliya ya Huba amefariki dunia. GLOBAL TV imezungumza na Meneja Uzalishaji (Production Manager) wa Huba Series aitwaye Saffi ambaye amethibitisha kutokea kwa msiba huo mzito. Saffi amesema Tessa amefariki dunia alfajiri ya…

Read More

YANGA YAIPIGA MKWARA AZAM FC

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawana hofu na wapinzani wao Azam FC licha ya timu hiyo kupata muda mrefu wa kufanya maandalizi kuelekea mchezo wao wa Dar Derby katika NBC Premier League. Ikumbukwe kwamba Azam FC mchezo wake uliopita ilicheza dhidi ya Ken Gold na kupata ushindi wa mabao 4-1 inakutana na…

Read More

AUCHO KUIKOSA AZAM FC

KIUNGO wa Yanga, chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi atakosekana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex, Novemba 2 2024. Ni NBC wadhamini wa ligi yenye ushindani mkubwa huku Azam TV kwenye upande wa kurusha mubashara mechi zote za ligi msimu wa 2024/25. Sababu…

Read More