
VIDEO: SIKIA TAMBO MSEMAJI WA SIMBA BAADA YA USHINDI WA GOLI 4-0 DHIDI YA KMC
Simba Sc imekwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu bara kufuatia ushindi wa 4-0 dhidi ya KMC Fc ikichukua pointi zote tatu na kufikisha pointi 25. Jean Charles Ahoua amefunga lake la tano la msimu kwenye Ligi Kuu bara, akihusika kwenye magoli 9 kwenye mechi 10 za ligi mpana sasa. FT: Simba Sc 4-0 KMC…