
MASTAA SIMBA NDANI YA MAISHA MAPYA YANGA
MAISHA ya mpira yana kupanda na kushuka ambapo kila mchezaji uwanjani amekuwa na kazi kubwa kuonyesha uwezo wake ndani ya dakika 90 na wapo ambao wamekuwa wakiongezewadili jipya na wengine kukutana na Thank You. Msimu wa 2023/24 ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa ligi chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi na sasa wanakibaua kingine…