
MAYELE AKUBALI MUZIKI WA YANGA
FISTON Mayele mshambuliaji wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa anacheza ndani ya Pyramids ya Misri ameweka wazi kuwa mabosi wake wa zamani hao wana timu nzuri inayoonyesha ushindani kutokana na mwendo walionao katika mechi zao. Ikumbukwe kwamba nyota huyo alikuwa chaguo la kwanza chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi alikuwa anatajwa pia kuwa kwenye…