GAMONDI ATUMA UJUMBE HUU JKT TANZANIA

LICHA ya kwamba mchezo wa mwisho kabla ya JKT Tanzania kushuka daraja na Yanga kukomba pointi tatu bado mabingwa hao watetezi wameweka wazi kuwa wanawaheshimu wapinzani hao. Kwenye mchezo wa mwisho kukutana na Yanga ubao ulisoma JKT Tanzania 0-2 Yanga na mabao yalifungwa na Yacouba Songne na Tuisila Kisinda. Kesho Agosti 29 Yanga wanatarajiwa kumenyana…

Read More

NABI AFURAHIA MASHABIKI WA MARUMO

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema wanapenda kucheza na mashabiki hivyo jambo ambalo wapinzani wao wamefanya ni zuri. Leo Yanga inatarajiwa kutupa kete kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini ambao watakuwa nyumbani. Kwenye mchezo wa leo wapinzani wao wamefuta kiingilio wakihitaji kuwa na mashabiki wengi ili…

Read More

AZAM FC YAKOMBA POINTI, FEI ATUPIA

KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum amefikisha mabao sita ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kuongeza akaunti yake ya mabao. Bao hilo alifunga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara walipocheza dhidi ya Mtibwa Sugar. Ilikuwa ni siku mbaya kazini kwa Mtibwa Sugar abaada ya kuyeyusha pointi tatu ugenini na kichapo kikubwa wakapokea. Novemba 24…

Read More

MESSI ALIKIWASHA LICHA YA KUKOSA PENALTI

GWIJI wa soka wa England na beki wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdind amekiri kuwa nahodha wa Argentina, Lionel Messi alikuwa katika kiwango bora juzi Jumatano kwenye mchezo wa Kombe la Dunia. Jumatano timu ya taifa ya Argentina ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Poland katika mchezo wa Kombe la Dunia na kufuzu hatua ya…

Read More

SIMBA:TUTASAJILI WACHEZAJI WENYE NJAA YA MAFANIKIO

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Simba,Salim Abdallah amesema kuwa msimu ujao watafanya usajili mkubwa kwa kuleta wachezaji wenye njaa ya mafanikio. Kwa sasa Simba ipo kwenye mchakato wa kumsaka kocha mpya baada ya Mei 31,2022 kumchimbisha Pablo Franco ambeya alikuwa kwenye benchi la ufundi. Mchezo wake wa mwisho kukaa benchi ilikuwa Mei 28 mbele ya…

Read More

Bayern, Juve, Barca, Liverpool… Mechi Zote Leo Zipo Meridianbet – Chagua Ushindi Wako!

Huku wikendi ikiendelea kuwa ya moto, wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa unaweza kumiliki gari ya ndoto yako kwa kubashiri hapa pekee kwani kuna machaguo unayoyataka. LALIGA kule Hispania kitawaka pia, FC Barcelona atakipiga dhidi ya Athletic Bilbao ambao wanashika nafasi ya 7 huku Barca wao wakiwa nafasi ya 2. Ushindi huu ni muhimu…

Read More

TANZIA:BEKI SONSO ATANGULIA MBELE ZA HAKI

ALLY Mtoni, ‘Sonso’ beki wa mpira aliyekuwa anakipiga ndani ya kikosi cha Ruvu Shooting ametangulia mbele za haki. Taarifa ambayo imetolewa leo imeeleza kuwa beki huyo amepatwa na umauti kutokana na kusumbuliwa na tatizo la mguu. Ikumbukwe kwamba Sonso mwenye miaka 29 aliwahi kucheza ndani ya kikosi cha Yanga kisha akaibukia Kagera Sugar. Timu nyingine…

Read More

UCHAGUZI UMEGOTA MWISHO, MAKUNDI YASIWEPO

Murtaza Mangungu ameshinda uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu kwa kupata kura 1,311. Tayari kwa sasa uongozi mpya umepatikana na kampeni muda wake umekwisha. Yale yote ambayo ymaetokea kwenye masuala ya uchaguzi pamoja na kampeni ni muhimu kuyafanyia kazi ili kuwa imara wakati ujao. Kwa walioshinda hongereni na tunatambua kwamba mmetoa ahadi kwa wachama na…

Read More

KIUNGO WA KAZI CHELSEA KUSEPA BURE

KIUNGO wa klabu ya Chelsea Ngolo Kante ameripotiwa huenda akaondoka klabuni hapo bure kabisa mwishoni mwa msimu ujao kutokana na kumalizika kwa mkataba wake na kutokuwepo kwa maendeleo yoyote kwenye mazungumzo ya mkataba mpya. Kwa mujibu wa mwandishi maarufu wa Habari za michezo Fabrizio Romano amebainisha kuwa upo uwezekano mkubwa wa kiungo huyo raia wa Ufaransa…

Read More