
SIMBA: MATOKEO MABAYA, HASIRA KUHAMIA HUKU
Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa matokeo waliyopata dhidi ya CS Constantine ni mabaya kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuwa walifanya makosa ndani ya dakika tano ambayo yaliwagharimu. Kwenye mchezo uliochezwa Desemba 8 2024 Simba walitangulia kufunga dakika ya 24 kupitia kwa Zimbwe na walifungwa mabao…