


HIZI HAPA DAKIKA 450 FUNGA KAZI UNYAMANI 2024
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika wanakete tano za kazi kufungwa mwaka 2p24 katika mechi za ushindani. Mechi tano za nguvu ambazo ni dakika 450 kwenye msako wa pointi tatu na kumbuka kwamba watakutana na mbabe wa Yanga, Tabora United kwenye mchezo wa mwisho wakiwa ugenini. Rekodi zinaonyesha kuwa ndani ya 2024/25 Tabora…

YANGA YAPIGA HESABU KUENDELEZA USHINDI, KITUO KINACHOFUATA KIMATAIFA
DUKE Abuya, nyota wa mchezo mbele ya Namungo ameweka wazi kuwa wanaamini wataendelea kushinda mechi zijazo za ushindani. Ikumbukwe kwamba mchezo wa funga kazi Novemba kwa Yanga ilikuwa dhidi ya Namungo, Novemba 30 2024 baada ya dakika 90 ubao ukasoma Namungo 0-2 Yanga. Ushindi huo ni wa kwanza kwa Kocha Mkuu, Sead Ramovic mrithi wa…

MEYA KUMBILAMOTO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO SEKONDARI YA JUHUDI
MSTAHIKI Meya wa Dar, Omary Kumbilamoto ambaye ni diwani wa Kata ya Vingunguti, amekabidhi vifaa vya michezo kwa mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Juhudi iliyopo Gongolamboto. Kumbilamoto ametimiza ahadi hiyo baada ya kuombwa na wanafunzi wa shule hiyo wakati alipoalikwa katika mahafali yao hivyo ametimiza jambo hilo kwa ajili ya kuibua vipaji kwa wachezaji…

LEO MECHI ZA LIGI ZINAENDELEA, WEST HAM VS ARSENAL… SAKA MAOKOTO HAPA
Siku ya leo mechi za ligi zinaendelea baada ya katikati ya wiki kushuhudia michuano mikubwa ya Ulaya, sasa ni zamu ya ligi ambapo timu kibao zitashuka dimbani kusaka pointi 3. Wewe saka maokoto na Meridianbet. Tukianza na ligi pendwa Duniani, EPL leo hii kuna mitanange ya maana inayoenda kukupatia ushindi amabpo Crystal Palace atamualika kwake…

MASTAA HAWA WANNE YANGA HATIHATI KUIKOSA NAMUNGO
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Sead Ramovic wanakibarua cha kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Namungo huku nyota wanne wakitarajiwa kuukosa mchezo huo wa ligi. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majaliwa saa 12:30 kwa wababe wawili kuwa kwenye hesabu za kusaka pointi tatu muhimu baada ya dakika 90….

KIPA CAMARA ATUMA UJUMBE HUU
MLINDA mlango namba moja wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Moussa Camara amesema kuwa bado kazi inaendelea kimataifa watapambana kufanya kweli na kupata matokeo katika mechi zijazo. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos, uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Novemba 27 2024 Camara aliokoa penati dakika…

HII HAPA RATIBA LIGI KUU BARA BONGO
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi ambapo leo Novemba 30 kuna mechi za funga Novemba 2024 kwa wababe kuwa uwanjani kusaka ushindi. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic itakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Namungo, mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majaliwa. Ni saa 12:30 jioni, Namungo wataikaribisha Yanga kwenye mchezo huo wa…

EPL, SERIE A, LALIGA LEO KITAWAKA, MECHI KIBAO VUNA MKWANJA!
Tandika jamvi lako la ushindi na Meridianbet siku ya leo. Timu kibao zipo dimbani kusaka ushindi wa pointi tatu na zingine zinatafuta kupanda nafasi za juu kutoka walizopo. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ligi kuu ya Uingereza EPL leo, Brighton baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kukiwasha…

TAMBO ZATAWALA KWA VINARA WA LIGI SIMBA
TAMBO zimetawala kwa vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba kwa kubainisha kuwa licha ya kukutana na ushindani mkubwa kwenye mechi za hivi karibuni bado walipambana na kupata ushindi ndani ya uwanja. Ipo wazi kwamba kikosi cha Simba bado hakijawa kwenye ubora wa asilimia 100 kutokana na wachezaji wake wengi kuwa ni wageni huku Kocha…

FEISAL GARI LIMEWAKA HUKO
KIUNGO mshambuliaji ndani ya kikosi cha Azam FC, Feisal Salum gari limewaka huko kutokana na kasi yake ya kucheka na nyavu kuendelea kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Wakati ubao wa Uwanja wa Azam Complex, Novemba 28 2024 ukisoma Azam FC 2-1 Singida Black Stars ambayo imetoka kuachana na Patrick Aussems ambaye alikuwa kocha mkuu…

YANGA YATUMA UJUMBE HUU KWA NAMUNGO
MCHORA ramani wa Yanga ameweka wazi kuwa wanakabiliwa na mchezo mgumu kesho na watapambana kupata pointi tatu muhimu unatarajiwa kuchezwa saa 12:30 jioni. Sead Ramovic amebainisha kuwa maandalizi yapo vizuri na wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo ambao utakuwa na ushindani mkubwa na malengo ni kuona wanapata pointi tatu muhimu. “Tuna mchezo mgumu mbele…

MERIDIANBET XMAS DROP – USHINDI MKUBWA UNAKUNGOJA!
Ingia kwenye ulimwengu wa sikukuu na Xmas Drop kutoka Meridianbet! Msimu huu, michezo ya Wazdan inakuletea zawadi kubwa kwa wachezaji. Jumla ya TZS 16,000,000,000 iko mezani, na zawadi za nasibu za pesa taslimu zikitolewa kupitia masanduku ya siri 4,000. Promosheni hii itaendelea kuanzia Novemba 29 hadi Desemba 29. Jiunge na Meridianbet leo, weka dau lako,…

EUROPA LEAGUE KUKUPATIA MKWANJA LEO
Leo hii ni afe kipa afe beki lazima uondoke na ushindi ndani ya Meridianbet ambapo viwanja mbalimbali vitaenda kuwaka moto timu zikisaka kwa hali na mali ushindi. Beti sasa ujishindie pesa za maana. Manchester United watakuwa Old Trafford kucheza dhidi ya Bodoe/Glimt kutoka kule Norway ambapo timu hizi zimetofautina pointi moja pekee. United ipo chini…

MR BLUE NI KABISA MKALI
UKIZUNGUMZIA Bongo Fleva kuna majina mengi yanapita yamefanya mapinduzi makubwa ikiwa ni pamoja na Sugu ambaye huyu ni muziki wa Hip Hop kiujumla alileta mageuzi makubwa ukiigusa ile ngoma ya Miaka 18 anasema ilikuwa ni stori ya kweli akaituma kwa jamii kupitia nyimbo. Legend Dully Sykes huyu alileta mtindo wa Mwanasesere kisha Bongo Fleva ikaanza…

TABORA UNITED WAIVUTIA KASI KMC
NYUKI wa Tabora, Tabora United wapo ndani ya jiji la Dar kwa ajili ya maandalizi ya mechi inayofuata ya Ligi Kuu Bara dhidi ya wakusanya mapato wa Kinondoni, KMC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex saa 10:00 jioni ambapo wababe hao wawili watakuwa kazini kusaka pointi tatu muhimu. Ikumbukwe kwamba mchezo uliopita kwa…

FAMILIA YA MICHEZO YAFANYA KWELI KWA VITENDO, VINGUNGUTI BALAA
WAKATI familia ya michezo Novemba 27 2024 wakiwa kwenye shangwe la ushindi baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-0 Bravos ya Angola kulikuwa na kivumbi kingine cha ushindi kwa wakazi wa kata ya Vingunguti na vitongoji vyake. Ipo wazi kwamba Novemba 27 2024 kulikuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa…