
RULAN MOKWENA AKUTANISHWA NA MANCHESTER CITY YA PEP GUARDIOLA
DROO ya hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Dunia kwa ngazi ya klabu itakayofanyika Nchini Marekani mwakani 2025 imetoka huku Wydad Casablanca ya Rulan Mokwena ikikutanishwa na Manchester City ya Pep Guardiola sambamba na Juventus na Al Ain ya UAE. GROUP A Palmeiras (Brazil) FC Porto (Portugal) Al Ahly (Egypt) Inter Miami (USA)…