
YANGA WANA MATUMAINI YAKUTOSHA KIMATAIFA
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa una matumaini makubwa kufikia malengo ya kutinga hatua ya robo fainali kwenye anga la kimataifa licha ya kuwa na pointi moja kibindoni. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic baada ya mechi tatu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika imegote kuvuna pointi moja baada ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1…