
YANGA MABINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO
ZANZIBAR-Young Africans Sports Club (Yanga SC) ya jijini Dar es Salaam imetwaa taji la saba la Michuano ya Kombe la Muungano. Ni baada ya Mei 1, 2025 katika dimba la Gombani lililopo Kisiwani Pemba kuwachapa Maafande wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU) kwa bao 1-0. Bao pekee la Maxi Mpia Nzengeli lilipatikana dakika ya…