PAPA FRANCIS AFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 88

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo Jumatatu akiwa na umri wa miaka 88, hatua inayofunga ukurasa wa uongozi wake uliojaa changamoto, migawanyiko na juhudi za kulifanyia mabadiliko Kanisa hilo la miaka 2,000. Vatican imethibitisha taarifa hizo kupitia video iliyosambazwa kwa vyombo vya habari. “Ndugu wapendwa, kwa huzuni kuu nawasilisha taarifa ya…

Read More

YANGA HAWATANII WANATAKA POINTI ZA FOUNTAIN GATE

BEKI wa Yanga, Israel Mwenda amesema kuwa ambacho wanahitaji kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Fountain Gate, Aprili 21 ni pointi tatu muhimu baada ya dakika 90. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza, Yanga ilipata ushindi wa mabao 5-0 mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex. Mwenda ambaye ni chaguo la kwanza…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA HATUA YA NUSU FAINALI CAF

HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza mchezo dhidi ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa ni nusu fainali ya kwanza. Kikosi cha kwanza langoni yupo Moussa Camara, wengine eneo la ulinzi ni Chamou, Hamza Jr, Mohamed Hussen, Shomari Kapombe, kwa viungo ni Fabrice Ngoma. Jean…

Read More

AZIZ KI, PACOME OUT YANGA

KUELEKEA katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Fountain Gate dhidi ya Yanga, kiungo Aziz Ki kuna hatihati akaukosa mchezo huo Aprili 21 2025 kwa kuwa hayupo fiti Uwanja wa Tanzanite, Kwaraa. Mbali na Aziz Ki, Pacome naye hajarejea katika ubora huku Musonda Kennedy naye akibainisha kuwa anahisi maumivu kwa mujibu wa Kocha Mkuu…

Read More

SIMBA KAMILI KIMATAIFA, TAMBO ZATAWALA

SIMBA SC itakuwa kibaruani kusaka ushindi dhidi ya Stellenbosch FC ni mchezo wa nusu fainali ya wababe wawili 2024/25 kimataifa wakiwa na rekodi yakumfungashia virago bingwa mtetezi kwenye mashindano ya kimataifa kwa nyakati tofauti. Aprili 20 2025 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa uwanja wa New Amaan Complex huku Simba SC ya Tanzania ikiwa na rekodi yakumfangashia…

Read More

VIDEO: UWANJA WA MKAPA KUFANYIWA MABORESHO MAKUBWA

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameweka wazi kuwa wadau wanapaswa kujikita kwenye njia za kitaalamu kwa namna ya kuendesha sanaa ambapo Serikali inatengeneza mazingira kwa ajili ya kuboresha mazingira ili wafanye uwekezaji kwenye kazi zao kushindana kimataifa. Kuhusu Uwanja wa Mkapa, Msigwa ameweka wazi kuwa watafanya maboresho makubwa baada ya CHAN na kwa sasa…

Read More

TABORA UNITED YAANGUSHA TATU MBELE YA WALIMA ALIZETI

SINGIDA Blac Stars, walima alizeti wamekomba pointi tatu mazima kwa ushindi mbele ya nyuki wa Tabora, Tabora United kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Liti, Singida. Mabao ya Singida Black Stars yamefungwa na Victorean Adebayo aliyefungua pazia la mabao dakika ya 21, Jonathan Sowah katupia mabao mawili ilikuwa dakika ya 52 na 86. Kwenye…

Read More